Uncategorized

HICHI NDICHO KILICHOMPA SHAVU BILAL ALLIANCE

admin July 20, 2019 10:26 am


ATHUMAN Bilal ndiye mrithi wa mikoba ya Malale Hamsin aliyekuwa anakinoa kikosi cha Alliance FC.

Mwenyekti wa Kamati ya mashindano ya Alliance, Yusuph Budod amesema kuwa wamekubaliana kamati na kukubali uwezo wa Bilal hali iliyofanya wampe kandarasi ya kukinoa kikosi hicho msimu ujao na atasaidiana na wengine ambao ni Kessy Mziray na Gilbert Dady.

“Tunaamini uwezo wa Bilal hasa ukizingatia alifanya vizuri alipokuwa na timu ya Stand United, imani yetu ni kuona anafanya maajabu msimu ujao,” amesema.

Bilal alikuwa kocha wa Stand United ambayo imeshuka daraja na msimu ujao itashiriki Ligi Daraja la Kwanza.

SIMBA: KWA USAJILI HUU NI MWENDO WA MAKOMBE TU YANGA WAJIPANGA KUWEKA KAMBI NJE YA NCHI BAADA YA DROO YA CAF

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply