Uncategorized

GARETH BALE MBISHI KINOMA AIKOMALIA MADRID

admin July 22, 2019 4:03 am

GARETH Bale amemwambia Meneja wa Real Madrid, Zinedine Zidane kuwa hana mpango wa kusepa ndani ya kikoisi hicho msimu ujao kuelekea China.
Zidane amemwambia Bale kuwa hana mpango wa kumtumia msimu ujao kwenye kikosi chake hivyo ni lazima aondoke kutafuta maisha sehemu nyingine.
“Sitaweza kufanya kazi na Bale msimu ujao, ni fursa kwake kuondoka na tunamfanyia mpango wa kujiunga na timu atakayoipenda,hata Spurs pia nina amini atafaa,” amesema.
Bale amesema kuwa “Sina mpango wa kuondoka ndani ya Madrid kwenda China ama timu nyingine, hata kama sitacheza nitabaki Madrid,”.
CAF WASITISHA ISHU YA AS VITA KUTIA TIMU BONGO UNITED WAWEKEWA UGUMU KUMPATA NYOTA WA NEWCASTTLE UNITED

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply