Uncategorized

CAF WASITISHA ISHU YA AS VITA KUTIA TIMU BONGO

admin July 22, 2019 3:47 am


IMEELEZWA kuwa Uongozi wa As Vita umesitisha mpango wa kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya Yanga.

Yanga ilipanga kucheza mchezo wa kirafiki siku ya kilele cha wananchi Agosti 4 uwanja wa Taifa.

Taarifa zinaeleza kuwa kutokana na kutoka kwa ratiba ya michuano ya kimataifa inayosimamiwa na Caf huku ikionyesha kuwa kati ya Agosti 9,10,11 AS Vita wakwenda Cameroon kucheza na USM De Loum na kurejea wiki moja kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa marudiono hivyo itakuwa ngumu kwao kucheza mchezo wa kirafiki.

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU GARETH BALE MBISHI KINOMA AIKOMALIA MADRID

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply