Uncategorized

SAFARI YA MABINGWA WA TPL SIMBA KIMATAIFA INAKWENDA NAMNA HII

admin July 22, 2019 9:27 am

Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limetoa ratiba ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika kwa msimu ujao wa 2019/20.

Mabingwa wa Tanzania Bara Simba SC wamepangwa kuanza na UD do Songo ya Msumbiji na wataanzia ugenini. 

Kwa mujibu wa ratiba, mechi za kwanza za raundi ya kwanza zitapigwa kati ya Agosti 9, 10 na 11 huku mechi za marudiano zikipigwa kati ya Agosti 23, 24 na 25.

Endapo vigogo hao wa Tanzania watapenya kwenye hatua hiyo, wataingia kwenye raundi ya pili ambapo Simba itakutana na mshindi kati ya Nyasa Big Bullets dhidi ya FC Platinum. 

SABABU YA KCCA KUNYAKUA UBINGWA WA KAGAME MIKONONI MWA AZAM FC YATAJWA SABABU YA AZAM FC KUKOSA UBINGWA WA KAGAME HII HAPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply