Uncategorized

AZAM FC WASAHAU HABARI ZA KUPOTEZA KOMBE LA KAGAME HESABU ZAO ZIPO HUKU

admin July 23, 2019 2:07 am
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa kwa sasa hesabu kubwa ni kufanya vizuri kwenye michuano ya kimataifa.

Azam FC imerejea nchini baada ya kushindwa kutetea kombe la Kagame leo inaanza mazoezi ya kujiaandaa na msimu ujao.

Ofisa Habari wa Azam FC, Jaffary Maganga amesema kuwa wamekubali kushindwa kutokana na ushindani.

“Tumepoteza kombe letu ila tumepambana, kwa sasa ni muda wa kujipanga kwa ajili ya michuano ya kimataifa,” amesema.

 Azam FC walikuwa ni mabingwa watetezi wamelipoteza kombe hilo kwa kufungwa bao 1-0 na KCCA ya Uganda.
KOCHA STARS: UWEZO WANGU UTAZUNGUMZA UWANJANI NYOTA SABA WA SIMBA KUCHOMOKA LEO KAMBINI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply