Uncategorized

NYOTA SABA WA SIMBA KUCHOMOKA LEO KAMBINI

admin July 23, 2019 3:07 am

NYOTA saba wa timu ya Simba wanatarajiwa kujiunga leo na timu ya Taifa kwa ajili ya kujaanda na michuano ya Chan wakitokea Afrika Kusini.

Akizungumza na Saleh Jembe, Kaimu Mkuu wa timu ya Taifa, Ettiene Ndayiragije amesema kuwa wachezaji wa Simba wanatarajiwa kujiunga leo na timu ya Taifa.

“Wachezaji ambao hawajajiunga na timu ya Taifa watajiunga leo na timu,” amesema.

Wachezaji ambao hawajajiunga na timu hiyo ni pamoja na Ibrahim Ajibu, Gadiel Michael, John Bocco, Hassan Dilunga, Aish Manula, Jonas Mkude na Erasto Nyoni.
AZAM FC WASAHAU HABARI ZA KUPOTEZA KOMBE LA KAGAME HESABU ZAO ZIPO HUKU YANGA: MSIMU UJAO MAMBO NI MOTO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply