Uncategorized
BWALYA ALIYEKUWA ANAWINDWA NA MNYAMA ASAINI EL GOUNA YA MISRI
NYOTA wa Nkana FC ya Zambia, Walter Bwalya amejiunga na timu ya El Gouna FC ya nchini Misri.
Bwalya alikuwa anatajwa kuwindwa na Simba ili kuziba pengo la Emmanuel Okwi ambaye hajaongezewa mkataba ndani ya kikosi hicho ambacho kimeweka kambi nchini Afrika Kusini.
Amesaini kandarasi ya miaka mitatu kwa dau linalotajwa kuwa na thamani ya dola 650,00 sawa na bilioni 1.4 za kitanzania.

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.