Mwambusi
Uncategorized

MBEYA CITY: KAZI KUBWA ITAFANYIKA MSIMU UJAO

admin July 26, 2019 4:21 pm


JUMA Mwambusi, Kocha Mkuu wa Mbeya City amesema kuwa kwa sasa yupo kwenye mkakati wa kukisuka upya kikosi cha Mbeya City ili kifanye maajabu msimu ujao.

Mwambusi amesema kuwa kazi yake kubwa kwa sasa ni kuandaa kikosi bora kitakachofanya mambo mazuri uwanjani.

“Kila kitu kinakwenda sawa na msimu ujao nataka kuona timu inapata matokeo chanya kwenye mechi zetu zote tutakazocheza,” amesema.

Mbeya City imeweka kambi mkoani Mbeya kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao unaotarajiwa kuanza kutimua vumbi Agosti 23.

WEMA SEPETU AMTAJA BINGWA WA LIGI KUU BARA MSIMU UJAO SIMBA MSIMU UJAO MCHEZAJI MMOJA KUCHEZA ZAIDI YA NAFASI MOJA, MIFUMO MPAKA MITATU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply