Uncategorized

WEMA SEPETU AMTAJA BINGWA WA LIGI KUU BARA MSIMU UJAO

admin July 26, 2019 4:21 pm


SHABIKI mkubwa wa timu ya Yanga, Wema Sepetu amesema kuwa ana imani na kikosi cha Yanga kitatwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu ujao.

Sepetu amesema kuwa imani yake ni kuona kikosi cha Yanga kinafanya makubwa na anaifuatilia timu yake kwa ukaribu kila hatua.

“Naipenda Yanga na ninaifuatilia katika kila hatua, kwa namna walivyofanya usajili msimu huu,ubingwa unawahusu ni suala la kusubiri tu,” amesema Sepetu.

Miongoni mwa wachezaji ambao wamesajili wa na Yanga ni pamoja na Ally Ally, Juma Balinya, Patrick Sibomana, Metacha Mnata.

MANCHESTER UNITED: ERICK BAILLY ATAREJEA KWENYE UBORA WAKE MBEYA CITY: KAZI KUBWA ITAFANYIKA MSIMU UJAO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply