Uncategorized

MANCHESTER UNITED: ERICK BAILLY ATAREJEA KWENYE UBORA WAKE

admin July 26, 2019 4:02 pm

MENEJA wa Manchester United amesema kuwa ana imani na mchezaji wake Erick Bailly atarejea kwenye ubora wake licha ya kupata majeraha kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Totthenham
Solskjaer amesema :”Tutamfanyia vipimo vikubwa mchezaji wetu ili kuona namna gani atarejea kwenye ubora wake, hivyo tuna imani atarejea kwenye ubora akipata matibabu.

Nyota huyo raia wa Ivory Coast alipambana kujiweka kwenye ubora akiwa ndani ya Manchester United kwa muda wa miaka mitatu.

United inatarajia kumuuza beki huyo kwa Leicester City ambao wapo tayari kutoa pauni milioni 80 kumpata nyota huyo mwenye umri wa miaka 26.
KOCHA STARS: TUPO TAYARI KUPAMBANA NA KENYA WEMA SEPETU AMTAJA BINGWA WA LIGI KUU BARA MSIMU UJAO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply