Uncategorized

HAZARD AMTABIRIA MAKUBWA NYOTA MPYA WA CHELSEA

admin July 29, 2019 12:35 am


EDEN Hazard nyota mpya wa Real Madrid amemtabiria makubwa winga mpya wa Chelsea, Christain Pulisic kuwa atafanya makubwa kwenye medani za soka. 

“Ni mchezaji mzuri na mwenye juhudi ana nafasi ya kufanya makubwa ndani ya timu yake mpya,” amesema.

Pulisic amejiunga na Chelsea akitokea Borussia Dortmund kwa ada iliyogharimu kiasi cha pauni milioni 58 sawa na shilingi bilioni 165.

Hazard amejiunga na Real Madrid baada ya kutumikia timu hiyo kwa muda wa miaka saba.

LIVERPOOL: TUNA MECHI NYINGI MSIMU UJAO LAZIMA TUFANYE KWELI ZAHERA ATAJA HATMA YA YONDANI NDANI YA YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply