Uncategorized

LIVERPOOL: TUNA MECHI NYINGI MSIMU UJAO LAZIMA TUFANYE KWELI

admin July 28, 2019 11:33 pm

JURGEN Klopp, Meneja wa Liverpool amesema kuwa msimu ujao wana kazi ngumu ya kufanya ili kuweka rekodi mpya zaidi ya msimu uliopita.

Kwa msimu wa 2018/19 Liverpool iliweza kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya na kukamata nafasi ya pili kwenye Ligi Kuu ya England huku mabingwa wakiwa ni Manchester City.

Klopp amesema:”Kwa kweli inabidi tujipange kwa kiasi kikubwa msimu ujao hasa ukizingatia kwamba kutakuwa na mechi nyingi kuanzia zile za Ligi ya Mabingwa Ulaya, Kombe la Carabao, Kombe la FA na Klabu Bingwa Dunia,”.

YANGA YATUMIA MILIONI KUBORESHA HOSPITALI YA MWANANYAMALA HAZARD AMTABIRIA MAKUBWA NYOTA MPYA WA CHELSEA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply