Home Uncategorized MBEYA CITY KUFUNGUA KAZI NA TANZANIA PRISONS

MBEYA CITY KUFUNGUA KAZI NA TANZANIA PRISONS

Mwambusi


JUMA Mwambusi, Kocha Mkuu wa Mbeya City amesema kuwa kazi kubwa wanayo msimu ujao kwa kuwa hesabu zao ni kufanya vema.

Mwambusi amesema kikosi kipo tayari kwa ajili ya msimu pya na maandalizi yapo vizuri.

“Kwa sasa kila kitu kinakwenda sawa na wachezaji wapo tayari kwa msimu mpya, mashabiki wazidi kutupa sapoti,” amesema.

Mchezo wa kwanza kwa Mbeya City utakuwa dhidi ya Tanzania Prisons utakaochezwa Agosti 24 uwanja wa Sokoine.

SOMA NA HII  AUBAMEYANG AWASABABISHIA BALAA HILI NEWCASTEL IKIKUBALI KULALA NA 4G