Uncategorized

MISRI YATUPWA NJE AFCON KWA KUCHAPWA BAO 1-0 NA AFRIKA KUSINI, LORCH APELEKA MSIBA

admin July 6, 2019 9:12 pm


Game ya AFCON hatua ya 16 bora imekwisha na wenyeji Misri wanatupwa nje ya mashindano kwa bao 1-0 huku Afrika Kusini wakisonga mbele kwenye hatua ya robo fainali.

Bao pekee la Afrika Kusini limefungwa na Thembinkosi Lorch mnamo dakika ya 85 ya kipindi cha pili.

Misri sasa wanaungana na timu za Cameroon ambao nao leo wamekubali kichapo cha mabao 3-2 kutoka kwa miamba Nigeria.

MAGORI AFUNGUKA JUU YA SUALA LA MO KUJIONDOA SIMBA MUONEKANO WA GAZETI LA SPOTI XTRA KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMAPILI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply