Uncategorized

MAYANJA: TUPO TAYARI KIMATAIFA

admin July 31, 2019 9:38 am

JACKSON Mayanja, Kocha Mkuu wa KMC amesema kuwa kwa sasa ni wakati wa kukijenga kikosi kwa ajili ya mchezo wao wa kimataifa dhidi ya AS Kigali.


KMC itamenyana na AS Kigali kati ya Agosti 10 ikiwa ni mchezo wa kombe la Shirikisho na kwa sasa wanaendelea na mazoezi uwanja wa Bora.

Mayanja amesema:-“Kazi kubwa ni kuaandaa kikosi kwa ajili ya michuano ya kimataifa, michuano ya Kagame imenipa picha ya kikosi kamili jinsi kilivyo hivyo sina mashaka na maandalizi yetu kwa sasa,”.
MJI KASORO BAHARI WAIBUKA NA KUCHOTA MAMILIONI YA SPORTPESA, NI BAADA YA ARUSHA KUTAMBA SANA YANGA AMUENI, KINDOKI ANASTAHILI AONDOKE, SHIKALO NA WATANZANIA ITAWEZEKANA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply