Home Uncategorized LEWANDOWSKI ANAKIMBIZIA REKODI TU

LEWANDOWSKI ANAKIMBIZIA REKODI TU


ROBERT Lewandowski nyota wa timu ya Bayern Munich ni miongoni mwa washambuiaji bora kutokea kwenye Ligi Kuu ya Ujerumani ‘Bundesliga’.


Ameshinda kiatu cha ufungaji bora mara nne, hajaifikia rekodi ya staa wa zamani wa kikosi hicho,Gerd Muller ambaye ametwaa kiatu hicho mara saba.

Staa huyo wa Poland aliyehamia Bayern mwaka 2014 akitokea Dortumund ameongeza ubora na thamani ndani ya kikosi hicho, kwa mwezi anakunja euro milioni 1.33 sawa na bilioni 3.4.
SOMA NA HII  PIERRE AUBAMEYANG AIVURUGA ARSENAL

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here