Uncategorized

KOCHA MANCHESTER UNITED AWATAKA WACHEZAJI KUWATUMIA WAKE ZAO KUFANYA MAZOEZI

admin April 3, 2020 8:14 am

OLE Gunnar Solskajer, Kocha Mkuu wa Manchester United amewataka wachezaji kutumia muda huu wa mapumziko kupata ushauri kutoka kwa wapenzi wao, wake zao ili kupata nguvu ya kufanya mazoezi.

  Ligi Kuu England pamoja na ligi nyingine duniani zimezimamishwa kutokana na kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona.

Solskajer amesema:” Katika wakati huu mgumu ambao tunapitia itakuwa vema kwa kila mchezaji kutumia ushauri wa mke wake ama mpenzi wake ili kupata nguvu ya kufanya mazoezi.

“Muhimu kwa wachezaji kufanya hili jambo ili kulinda vipaji vyao na inawezekana kwao kuwa bora,” amesema.

ABDI BANDA: TUNAPIGA MATIZI KAMA KAWAIDA MBELGIJI WA SIMBA HESABU ZAKE ZIPO NAMNA HII

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply