Uncategorized

ABDI BANDA: TUNAPIGA MATIZI KAMA KAWAIDA

admin April 3, 2020 7:14 am

ABDI Banda nyota wa Tanzania anayekipiga ndani ya Klabu ya Highlands Park inayoshiriki Ligi Kuu Afrika Kusini amesema kuwa wanapiga matizi kama kawaida ili kulinda vipaji vyao lakini ni ndani ya nyumba.

Kwa sasa Ligi ya Afrika Kusini na nyingine nyingi duniani zimesimamishwa ili kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona.

“Tunapiga mazoezi huku kwa sasa licha ya kwamba hali sio shwari kwani Corona imetufanya tushinde ndani tukifanya mazoezi ambayo tumepewa na makocha wetu.

“Pia wanafuatilia maendeleo yetu ili kujua ni namna gani tunakuwa bora kwa kuwa kazi ya mchezaji ni lazima acheze na kulinda kipaji pia kupitia mazoezi ni muhimu,” amesema.

NIYONZIMA AGOMEA KUSTAAFU KUCHEZA SOKA KOCHA MANCHESTER UNITED AWATAKA WACHEZAJI KUWATUMIA WAKE ZAO KUFANYA MAZOEZI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply