Uncategorized

YANGA YAMWAGA MAWAKALA MIA UWANJA WA TAIFA KWA AJILI YA MASHABIKI

admin August 4, 2019 6:52 am


DISMAS Ten, Kaimu Katibu wa Yanga amesema kuwa mashabiki wasiwe na mashaka juu ya kilele cha Mwananchi mipango imekamilika.

Kwa upande wa mashabiki ambao hawajapata tiketi mpaka muda huu amesema mawakala wapo wa kutosha uwanja wa Taifa.

“Barabara za kuelekea Uwanja wa Taifa, zimepambwa na kijani na njano, kelele zinazosikika ni nyimbo za wananchi, sauti za shangwe na fujo zisizoumiza.

“Kwa ambaye hajapata tiketi kwa sababu yoyote ile,asiwe na mashabka. Nje ya Uwanja kuna mawakala zaidi ya 100,” amesema.

LEO UTAKUWA WAPI MAANA MECHI ZOTE KALI ZIPO NAMNA HII, CHEKI RATIBA SAMATTA AFUNGUA AKAUNTI MPYA YA MABAO UBELGIJI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply