Home Uncategorized MWENDO WA KUUJAZA UWANJA WA TAIFA KWA SIMBA UNAENDELEA

MWENDO WA KUUJAZA UWANJA WA TAIFA KWA SIMBA UNAENDELEA


TAYARI mashabiki wa timu ya Simba wameanza kuujaza uwanja wa Taifa muda huu kuelekea mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Power Dynamo.

Leo ni kilele cha SportPesa Simba Wiki ambapo ni siku rasmi kwa Simba kuwatambulisha wachezaji, jezi mpya, zitakazotumika msimu ujao pamoja na wimbo maalumu a Simba.

SOMA NA HII  MANCHESTER CITY: HATUJAPATA OFA YA BAYERN MUNICH KUMTAKA SANE