Uncategorized

HIZI NDIZO SILAHA KUWA MBILI ZA WAPINZANI WA YANGA KIMATAIFA LEO

admin August 10, 2019 7:04 am


TOWNSHIP Rollers mabingwa wa Botswana leo watakuwa uwanja wa Taifa wakimenyana na Yanga mchezo wa awali wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

Rollers walimaliza Ligi na point 68 na kubeba ubingwa msimu uliopita baada ya kushinda mechi 20 kati ya 30.

Waliambulia sare 8 walipotezamechi 2. Kawaida wana uwezo mkubwa wa kuuchezea mpira na wanaitumia kama silaha yao katika mambo mawili makuu.

Jambo la kwanza ni pasi ambazo wanazicheza kwa kasi ikiwa ni sehemu ya kujilinda kwa kuwa kama wana mpira ni uhakika hautawafunga.

Jambo la pili wanapokuwa na mpira mara kadhaa wanakuwa wanaangalia kama kuna nafasi ya kupenya na kufunga mapema.

MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI NYOTA SITA WA YANGA HAWA HAPA HATIHATI KUIKOSA TOWNSHIP ROLLERS LEO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply