Uncategorized

NYOTA SITA WA YANGA HAWA HAPA HATIHATI KUIKOSA TOWNSHIP ROLLERS LEO

admin August 10, 2019 7:34 am


LEO Yanga ipo kazini uwanja wa Taifa kumenyana na Township Rollers mchezo wa awali wa Ligi ya Mabingwa.

Kwenye mchezo wa leo nyota wake sita watakosekana ambao ni pamoja na mlinda mlango Farouk Shikalo, Moustafa Seleman ambao wamechelewa kupata leseni.

David Molinga, mwili jumba yeye amechelewa kwenye usajili wa Caf.

Pia kuna hatihati ya kuwakosa mabeki wao watatu visiki ambao ni:

Juma Abdul

Kelvin Yondani

Andrew Vincent 

HIZI NDIZO SILAHA KUWA MBILI ZA WAPINZANI WA YANGA KIMATAIFA LEO HAWA NDIO UD SONGO WAPINZANI WA SIMBA KIMATAIFA, UKIWAPIGA MAPEMA WANAPOTEANA MAZIMA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply