Uncategorized

SIMBA : TUPO TAYARI KUPAMBANA LEO NA UD SONGO

admin August 10, 2019 2:39 am


PATRICK Aussems, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa leo watapambana kupata matokeo mbele ya UD do Songo utakaochezwa nchini Msumbiji.

Simba jana ilikwea kwa dege binafsi ambapo ilifanya mazoezi ya mwisho  jana kabla ya leo kumenyana na wapinzani hao.

Mchezo wa huu wa awali unachezwa leo kabla ya ule wa marudio unaotarajiwa kuchezwa kati ya Agosti 23-25 Dar.

“Wachezaji wapo sawa na kila mmoja anatambua kazi yake ni kupata matokeo.

“Tupo tayari kwa ajili ya kupata matokeo chanya imani yetu utakuwa mchezo mgumu ila tutapambana kufikia malengo yetu,” amesema.

YANGA LEO TUNAMALIZANA MAHESABU MAPEMA KWA TOWNSHIP ROLLERS TOWSHIP ROLLES WAPATA MCHECHETO KWA YANGA LEO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply