Uncategorized

TOWSHIP ROLLES WAPATA MCHECHETO KWA YANGA LEO

admin August 10, 2019 3:39 am


THOMAS Trucha, Kocha Mkuu wa Township Rollers amesema kuwa wapo tayari kwa ushindani wa leo mbele ya Yanga kwenye mchezo wa kimataifa dhidi ya Yanga.

Rollers leo itamenyana na Yanga uwanja wa Taifa kwenye mchezo wa awali kabla ya ule wa marejeano utakaochezwa Botswana kati ya Agosti 23-25.

“Ntegemea mchezo utakuwa mgumu na wenye ushindani, tumejipanga kufanya vizuri na kupata matokeo chanya kwenye mchezo wetu wa leo.

“Mchezo hautakuwa mwepesi ila tupo tayari mashabiki watupe sapoti,” amesema.

Timu hizo zilipokutana mwaka 2018 Yanga ilipoteza nyumbani kwa mabao 2-1 kabla ya kwenda kutoka sare Botswana.

SIMBA : TUPO TAYARI KUPAMBANA LEO NA UD SONGO VIDEO; UFAFANUZI JUU YA ISHU YA TIKETI KWA YANGA ZILE ZA MWANCHI HUU HAPA, MASHABIKI WAITWA UWANJA WA TAIFA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply