Uncategorized

TANZANITE KUREJEA LEO BONGO NA KOMBE LAO LA COSAFA

admin August 12, 2019 12:29 pm


Timu ya Taifa ya Wanawake chini ya Miaka 20 ‘Tanzanite’ ilialikwa kushiriki michuano ya COSAFA iliyokamilika jana nchini Afrika Kusini na wameibuka mabingwa wapya wa michuano hiyo.

Inatarajiwa kuerjea leo nchini Tanzania pamoja na msafara wa viongozi ambao walikwea pipa kuipa sapoti timu hiyo.

Tanzanite mchezo wa mwisho walicheza na Zambia na kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 na kutwaa kombe hilo.

Kocha Mkuu wa Tanzanite, Bakari Shime amesema kuwa ni zawadi kwa mashabiki wa Tanzania ambao wanapenda mpira na wanatoa sapoti kwa timu zote Tanzania.

MESSI ANAPAMBANA KUWA FITI KUKINUKISHA DHIDI YA ATHLETIC BILBAO MRITHI WA MAKAMBO YANGA ATABIRIWA MAKUBWA , HIKI NDICHO KINACHOMPONZA ASHINDWE KUTAMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply