Uncategorized
GUNDOGAN ACHEKELEA KUBAKI NDANI YA MANCHESTER CITY
IIKAY Gundogan, kiungo mshambuliaji wa Manchester City bado yupo sana ndani ya kikosi hicho.
Gundogan ameongeza kandarasi ya kuitumikia klabu hiyo ambapo atadumu mpaka mwaka 2023.
Nyota huyo raia wa Ujerumani amekuwa chaguo la muda mrefu kwa Pep Guardiola licha ya kuwa hana umaarufu wa Soka la England.
“Habari mashabiki nimesaini mkataba mpya wa miaka minne, najiona mwenye furaha kuendelea kuitumikia klabu hii,”.

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.