Uncategorized
BREAKING: NYUMBA YAWAKA MOTO KARIBU NA KITUO CHA MAFUTA YA PETROL TABATA
Baadhi ya wakazi wa Tabata jijini Dar es Salaam wakishirikiana kuuzima moto unaoendelea kuwaka katika moja ya nyumba iliyopo eneo la ToT, mita chache karibu na kituo cha mafuta cha Mount Meru.
Tayari Jeshi la Polisi limefika eneo la tukio, na juhudi za kulitafuta Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linaendelea.
Picha na Azam TV

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.