Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema wachezaji wa kikosi chake wako vizuri tayari kwa mechi za kitafiki kuelekea Mchezo wa marudiano wa klabu Bingwa Afrika dhidi ya Township Rollers ya Botswana.
Amesema tayari wachezaji Kelvin Yondani na Juma Abdul wameingia kikosini na kwamba beki Paul Godfrey ‘Boxer’ anaeendelea vyema muda wowote anaweza kujiunga na wenzake kikosini.
Amesema wanaendelea kuwasoma wapinzani wao kwa kupitia video zao mbalimbali ili kujua namna ya kucheza nao na kupata ushindi katika Mchezo wa marudiano.
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.