Home Uncategorized BOB JUNIOR AMTAJA HARMONIZE, DIAMOND – VIDEO

BOB JUNIOR AMTAJA HARMONIZE, DIAMOND – VIDEO


Msanii nguli wa muziki wa Bongo fleva Bob Junior amesema kosa lake ni kukaa kimya kwa muda mrefu na ndio maana alikuwa hasikiki.

Ameongeza kuwa amemsaidia sana Harmonize hadi ameingia kwenye game, na alipoulizwa kuhusu Diamond anamzungumziaje akasema “anatumia ujana wake kwa nguvu, Mungu ambariki.”

SOMA NA HII  YANGA YAPAGAWA NA POINTI MOJA ILIYOAMBULIA NDANI YA DAKIKA 180