Uncategorized

MBEYA CITY WAO WAIKOMALIA TANZANIA PRISONS

admin August 20, 2019 10:44 am


KOCHA Mkuu wa Mbeya City, Juma Mwambusi amesema kikosi kitarejea kwenye makali yake ya zamani.

Mwambusi amerejea nyumbani baada ya kupigwa chini na Azam FC msimu uliopita kwa kile kilichoelezwa kuwa ni matokeo mabovu.

Mchezo wake wa Kwanza utakuwa dhidi ya watani wa jadi, Tanzania Prisons utakaochezwa Uwanja wa Sokoine na Mbeya City atakuwa mwenyeji.


“Kikosi kipo vizuri na wachezaji wana morali ya lupambana, nina imani tutafanya vema msimu mpya ndani ya ligi,” amesema.

MBAO WAPO VIZURI, KUANZA KAZI NA AALIANCE FC KUMUONA NIYONZIMA AKIPATA TAABU UWANJA WA TAIFA MBELE YA KMC BUKU MBILI TU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply