Home Uncategorized HIZI HAPA NNE KUSHUKA UWANJANI LEO TPL

HIZI HAPA NNE KUSHUKA UWANJANI LEO TPL


LEO Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na Vodacom inaendelea ambapo mechi mbili zitachezwa kwa timu nne kushuka uwanjani kama ifuatavyo:-

Mwadui v Singida United, uwanja wa Mwadui.

Lipuli v Mtibwa Sugar uwanja wa Samora.

Mechi zote zinapigwa saa 10:00 jioni.

SOMA NA HII  KAMA UTANI KIPA MRUNDI AIBUKIA KAMBINI KWA YANGA