Home Uncategorized WATU WAENDELEA KUCHOTA MIKWANJA YA MAANA KUTOKA SPORTPESA BONGO Uncategorized WATU WAENDELEA KUCHOTA MIKWANJA YA MAANA KUTOKA SPORTPESA BONGO By admin - September 3, 2019 235 0 Mshindi wa Jackpot Bonus Barikiwa Akson Kasekwa akikabidhiwa hundi ya shilingi 7,187,699/= mara baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 kwenye Jackpot ya SportPesa. Kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti SportPesa Tarimba Abbas.