Home Uncategorized GUARDIOLA AJIUNGA GIRONA FC Uncategorized GUARDIOLA AJIUNGA GIRONA FC By admin - September 5, 2019 380 0 Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amejiunga na klabu ya Girona ya Hispania ambayo ilishuka daraja msimu uliopita.Guardiola amejiunga na klabu hiyo kama mwanachama ambayo inamilikiwa na kuendeshwa na kaka yake, Pere Guardiola.