Kocha wa zamani wa Simba, Muingereza, Dylan Kerr, amefikwa na mama yake mzazi.
Kerr ameeleza kuwa mama yake alikuwa akiumwa kwa muda mrefu na ndicho kilichopelekea kifo chake.
Salehj] Jembe blog inatoa pole kwa Kerr pamoja na familia yake kwa ujumla.







