Uncategorized

MAGORI AACHIA NGAZI RASMI SIMBA, CEO MPYA KUTOKA AFRIKA KUSINI ATANGAZWA

admin September 7, 2019 9:50 am


Ifisa Mtendaji mpya Simba, Senzo Mazingisa, ametambulishwa leo jijini Dar es Salaam na Crescentius Magori anayemaliza muda wake.

Baada ya utambulisho huo, Magori amesema Mazingisa ataanza kazi rasmi Jumatatu ya wiki ijayo ambapo yeye atakuwa mstaafu.

Magori ameachia rasmi ngazi kufuatia muda wake kumalizika ambapo alipewa nafasi hiyo huku mchakato wa kumtafuta atakayekuwa nafasi hiyo kukamilika.

“Kuanzia wiki ijayo nitakuwa CEO mstaafu. Nawashukuru sana kwa ushirikiano mlionipa.

Nawashukuru sana Wanasimba. Kwa tuliokwazana niwaombe radhi ilikuwa sababu ya kazi yangu,” amesema Magori.

SAMATTA AITAKA BARCELONA MWANARIADHA AJUNGA NA KLABU YA SOKA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

One response to “MAGORI AACHIA NGAZI RASMI SIMBA, CEO MPYA KUTOKA AFRIKA KUSINI ATANGAZWA”

  1. Gary says:

    You could certainly see your expertise in the
    work you write. The sector hopes for even more passionate writers
    such as you who aren’t afraid to mention how they believe.
    At all times follow your heart.

    My web page Bonus New Member

Leave a Reply