Home Uncategorized KINACHOENDELEA BAINA YA YANGA NA FALCAO – VIDEO

KINACHOENDELEA BAINA YA YANGA NA FALCAO – VIDEO


Inaelezwa kuwa mabosi wa Yanga wameamua kuachana kimyakimya na straika wao kutoka Congo, David Molinga ambaye alisajiliwa wakati Mwinyi Zahera akiwa Kocha Mkuu.

SOMA NA HII  SIMBA: KWA USAJILI HUU NI MWENDO WA MAKOMBE TU