Home Uncategorized MITIHANI MITANO ATAKAYOKUTANA NAYO SAMATTA EPL YAANIKWA – VIDEO Uncategorized MITIHANI MITANO ATAKAYOKUTANA NAYO SAMATTA EPL YAANIKWA – VIDEO By admin - January 22, 2020 150 0 Baada ya Samatta kusajiliwa Rasmi na Aston Villa, Samatta ambae ni mgeni wa ligi kuu ya England yenye mashabiki wengi dunia atakutana na vikwazo kadhaa ikiwemo kumpunguza kasi Jamie Vardy ambae kwa msimu huu amekuwa tishio kwa utupiaji wa magoli.