Uncategorized

AZAM FC SASA WAMEHAMIA HUKU, KUANZA LEO KAZI

admin January 24, 2020 4:56 am

MABINGWA watetezi wa Kombe la Shirikisho, Azam FC leo wanatarajia kuanza mazoezi ya kujiandaa kulitetea taji lao hilo.

Azam FC ilitwaa taji la Shirikisho kwa kuichapa Lipuli FC bao 1-0. Inatarajiwa kucheza Januari, 27 Uwanja wa Uhuru na Friends Rangers.

Azam FC itamenyana na Friends Rangers kwenye hatua ya 32 bora na mshindi atapenya hatua ya 16 bora.

Kikosi cha Azam FC kilirejea jana, Januari 23 kutoka Shinyanga ambapo kilikuwa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mwadui FC  na kiliibuka na ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na Shaban Chilunda.

Kocha Msaidizi wa Azam FC, Idd Cheche amesema kuwa wachezaji wana morali ya kupambana, mashabiki waendelee kuwapa sapoti.

MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA KLOPP ANA MATUMAINI YA KUTOSHA KWA MANE, MJAPAN AKICHAFUA KWA MARA YA KWANZA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply