Home Uncategorized KOCHA YANGA ACHUKIZWA NA MORRISON, AMCHANA YONDANI – VIDEO

KOCHA YANGA ACHUKIZWA NA MORRISON, AMCHANA YONDANI – VIDEO

Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, amefunguka kuhusiana na mbwembwe alizozifanya mchezaji wake, Bernard Morrison wakati timu yake ilipocheza dhidi ya Tanzania Prisons.

SOMA NA HII  SIMBA IPO BIZE NA MCHAKATO WA KUIREJESHA MIKONONI MWA WATU, KILA MMOJA KUWA SEHEMU YA MAFANIKIO