Home Uncategorized ACHANA NA STORI ZA MORRISON, CHAMA AWEKA AHADI KUBWA SIMBA – VIDEO

ACHANA NA STORI ZA MORRISON, CHAMA AWEKA AHADI KUBWA SIMBA – VIDEO


Mchezaji wa klabu ya Simba, Clatous Chama, ameendelea kuweka rekodi ya kufunga mabao ya mbali yaani nje kabisa ya 18 ambapo amefunga tena kwenye mtanange wao na Mwadui FC.

SOMA NA HII  AZAM FC YASAHAU MAUMIVU YA KUPOTEZA NGAO YA JAMII, SASA NI MWENDO WA KIMATAIFA