Cecafa Cup

BAADA YA MANARA ‘KUMTAPIKIA NYONGO’..BARBARA AMJIBU HIVI ‘KIBABE’

admin August 4, 2021 1:30 pm


Katika hali ambayo haijafahamika, Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez amefunguka leo kupitia ukurasa wake wa Twitter akisisitiza msamaha.

Barbara ameandika ujumbe mfupi wenye maneno tisa kwa Kingereza unaolenga kutafuta au kutuliza amani.

SOMA PIA: MANARA AMWAGA UGALI..AFUNGUKA A-Z KUHUSU BARBARA NA MO DEWJI MTAJA SENZO..

Mtendaji huyo ameandika, “When you have a chance to seek revenge: FORGIVE! (Ukipata nafasi ya kulipiza kisasi, samehe),”

Barbara ameandika ujumbe huo muda mfupi kabla ya aliyekuwa Msemaji wa Simba, Haji Manara kutema nyongo tangu aondolewe kwenye nafasi hiyo.

SOMA PIA : HAJI MANARA: SENZO ALIAJIRIWA ILI ANIFUKUZE

BAADA YA KUTEMWA YANGA.. NTIBAZONKIZA ‘AWATAPIKIA NYONGO’ MABOSI YANGA BAADA YA KUTEMWA AZAM FC OBREY CHIRWA HUYOOO NAMUNGO FC

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply