Home Uncategorized RASMI YANGA WAFUATA NYAYO ZA SIMBA

RASMI YANGA WAFUATA NYAYO ZA SIMBA

Mwenyekiti wa timu ya Yanga anapenda kuwatangazia wanachama wote kuwa kutakuwa na Mkutano Mkuu wa Dharura wa wanachma wa Klabu utakaofanyika Jumapili 16/02/2020 kuanzia saa nne asubuhi.
SOMA NA HII  TOWSHIP ROLLES WAPATA MCHECHETO KWA YANGA LEO