Uncategorized

PIGO, WACHEZAJI SITA WA SIMBA KUIKOSA JUMLA JKT TANZANIA LEO UHURU

admin February 7, 2020 10:14 am

SIMBA leo itakuwa Uwanja wa Uhura saa 10:00 Jioni kumenyana na JKT Tanzania kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara ikiwa ni mchezo wa mzunguko wa pili.

Kikosi cha Simba kitakosa huduma ya wachezaji sita wa kikosi cha kwanza kutokana na sababu mbalimbali.

Taarifa kutoka Simba zimeeleza kuwa wachezaji wao wanne ni majeruhi huku wawili wakiwa ni wagonjwa hivyo wataukosa mchezo wa leo dhidi ya JKT Tanzania hawa hapa:-

Majeruhi:-
 Mzamiru Yassin
 Miraji Athumani
 Deo Kanda
 Erasto Nyoni

Wachezaji ambao ni wagonjwa (sio majeruhi)
 Shomari Kapombe
 Rashid Juma

CR 7 NI MOTO, AFIKISHA MABAO 50 SASA NDANI YA ITALIA, NAFASI YA PILI WAKALI WAKE HAWA HAPA YANGA: MORALI YA WACHEZAJI IPO VIZURI, TUTAPAMBANA MBELE YA RUVU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply