Home Uncategorized VPL:RUVU SHOOTING 0-1 YANGA

VPL:RUVU SHOOTING 0-1 YANGA


Ruvu Shooting 0-1 Yanga
Uwanja wa Uhuru

David Molinga Goool

Mchezo wa Ligi Kuu Uwanja wa Uhuru kati ya Ruvu Shooting na Yanga ni kipindi cha pili, Yanga inaongoza bao 1-0 lililofungwa na David Molinga kwa pasi ya Ditram Nchimbi

Mchezo wa kwanza mzunguko wa kwanza Yanga ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0.

Leo ni mchezo wa kisasi kwa Yanga huku Ruvu wakipania kuendeleza rekodi yao waliyoanza nayo.

SOMA NA HII  NYOTA WATATU WA FIORENTINA SASA WAPO GADO BAADA YA KUPEWA MATIBABU YA CORONA