Uncategorized

KUMEKUCHA MSIMBAZI, MATOLA SASA KUTIMKA NDANI YA TIMU

admin February 10, 2020 12:26 pm


IMEELEZWA kuwa Kocha Msaidizi wa Simba, Seleman Matola yupo kwenye harakati za kuondoka ndani ya Simba ili aongeze ujuzi wake kwenye taaluma ya ukocha.

Habari zinaeleza kuwa Matola atasepa ndani ya Simba Machi 3 na kuibukia makao makuu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ambapo atakuwa kwenye kozi maalumu ya ukocha itakayompandisha hadhi ya kukaa kwenye benchi la ufundi akiwa ni Kocha Mkuu.

“Machi 3, Matola anasepa ndani ya Simba na atarejea Aprili 10 hatakuwa na timu kabisa hivyo atatafutwa kocha mpya,” ilieleza taarifa hiyo.

SIMBA KAZINI TENA KESHO MBELE YA MTIBWA SUGAR, MOROGORO CHIRWA ABEBESHWA BONGE MOJA YA ZIGO HUKO AZAM FC

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply