Uncategorized

MBARAKA YUSUPH AREJEA RASMI AZAM FC BAADA YA KUWA NJE MWAKA MMOJA

admin February 10, 2020 5:20 am


MBARAKA Yusuph, mshambuliaji wa Azam FC amerejea uwanjani baada ya kukaa nje kwa muda wa mwaka mmoja.

Mbaraka alikuwa anasumbuliwa na majeraha ya goti aliyoyapata wakati akiitumikia timu ya Namungo ambayo imepanda Daraja kwa sasa inashiriki Ligi Kuu Bara.

Habari kutoka Uongozi wa Azam FC zinaeleza kuwa Mbaraka alianza mazoezi rasmi jana, Februari 9, Jumapili na wachezaji wenzake wa Azam FC.

Yusuph alifanyiwa upasuaji wa goti lake la mguu wa kulia Aprili mwaka jana katika Hospitali ya Vincent Pallotti jijini Cape Town, Afrika Kusini, kufuatia kubainika kuchanika mtulinga wa kati wa goti hilo (Anterior Cruciate Ligament Tear).

SENZO AMKATALIA SVEN, MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU HUYO LUKAKU ANASIFA, WAPINDUA MEZA KIBABE NA TIMU YAKE MBELE YA AC MILAN

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply