Uncategorized

UJUMBE HUU WATUMWA KAGERA SUGAR KUTOKA SIMBA

admin February 17, 2020 7:22 pm


JOHN Bocco, nahodha wa Simba amesema kuwa wataendelea kuzitafuta pointi tatu kwenye mechi zao zote watakazocheza ikiwa ni pamoja na mechi ya kesho dhidi ya Kagera Sugar.

Simba itaikaribisha Kagera Sugar, Uwanja wa Taifa ikiwa ni mchezo wa pili wa Ligi Kuu Bara baada ya ule wa kwanza kushinda kwa mabao 3-0.

“Tunakazi kubwa ya kutafuta pointi tatu kwenye mechi zet za ligi, tunaoma mashabiki waendelee kutupa sapoti kwani kazi yetu uwanjani inawategemea mashabiki,” amesema.

Bocco ametupia jumla ya mabao matatu na pasi moja ya bao ndani ya Simba iliyofunga jumla ya mabao 46.

ARSENAL YAPATA MSHTUKO KUFUNGIWA KWA CITY KUSHIRIKI UEFA MIAKA MIWILI HAYA HAPA MAKUNDI YA CHAN 2020,TANZANIA YAPANGWA KUNDI D

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply