Uncategorized

ALLIANCE WAIVURUGA MWADUI FC, WALIPA KISASI CHA AZAM FC

admin February 20, 2020 3:22 am


DAVID Richard mshambuliaji wa Alliance jana alisepa na mpira wake mbele ya Mwadui FC Uwanja wa Nyamagana kwnye ushindi wa mabao 4-1 na kulipa kisasi cha Obrey Chirwa aliyeifunga timu hiyo mabao matatu.

Richard anakuwa mshambuliaji wa tano kusepa jumla na mpira kwenye ligi msimu wa 2019/20.

Mshambuliaji wa kwanza kusepa na mpira alikuwa ni Ditram Nchimbi mbele ya Yanga wakati akiwa Polisi Tanzania, Daruesh Saliboko wa Lipuli mbele ya Singida United.

Obrey Chirwa mbele ya Alliance na Kelvin Sabato mbele Mwadui.

Ushindi huo unaifanya Alliance kuwa nafasi ya 13 na pointi 23 huku Mwadui FC ikiwa nafasi ya 19 na pointi 19.

IGHALO ASHINDWE YEYE TU SASA UNITED, AANDALIWA DILI LIGI DARAJA LA KWANZA TUSIIFUMBIE MACHO KWANI HUKU MAMBO BADO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply