LIONEL Messi, mshambuliaji wa Barcelona amesema kuwa siku ya Alhamisi kwake hupenda kukaa na familia ili kuyajenga masuala mengi yanayowahusu.
Messi kwenye La Liga ametupia jumla ya mabao 14 timu yake ipo nafasi ya pili ikiwa imejikusanyia pointi 52 baada ya kucheza mechi 24.
“Kuna mambo mengi ya kufanya nikiwa na familia ila kutokana na ratiba kuwa ngumu huwa ninapenda siku ya Alhamisi kuzungumza na familia yangu na kufanya mambo kwa pamoja ni muhimu sana kwenye ratiba yangu,” amesema.
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.