Uncategorized
HUU HAPA MTAMBO WA KUTENGENEZA MABAO NDANI YA MANCHESTER CITY
KEVIN De Bruyne ni mbaya kwenye mipira ya mwisho ndani ya Manchester City kwani amekuwa ni mtambo wa kutengeneza mabao na anafunga pia.
Akiwa amecheza dakika 2,154 ametupia mabao nane pia ametoa jumla ya pasi 16 za mabao kwa City.
Mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu England wapo nafasi ya pili na pointi 57 Bruyne amehusika kwenye mabao 24 kati ya 68 yaliyofungwa na timu yake.
Amefunga mabao nane akiwa na wastani wa kufunga bao moja kila baada ya dakika 269.

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.